Friday, November 20, 2009

Binti wa Kiislam!



Anaitwa Wema binti Sepetu, ni binti wa kiislamu, mtanashati asiye na makuu na mmojawapo wa waigizaji wakali katika tasnia la filamu Tanzania. Kama unajua vingine, KIMPANGO WAKO!

Hili Movie linakuja!


Filamu hii, ndani yuko Thea, Christian Bella (Rais wa Masauti) na wengine kibao. Inaitwa 'Hisia Zangu'.

Saturday, November 14, 2009

MKOREA wa Filamu Tz!


Huyu anaitwa Park Doeng I, raia wa Korea ambaye amejitolea kuwasaidia wadau wa filamu Tanzania ili zipatikane filamu zenye ubora na viwango vya kimataifa, na ameanza na kikundi cha Safari Arts cha NIT, Dar. Hapa anaonyesha udugu kwa kum'beba mtoto wa kiswahili, tena mgongoni. Umeiona saa ya huyo mtoto?

Monday, November 9, 2009

Mtanashati!

Wako ambao tumewazoea kwa utanashati, mfano ni huyu bro anaitwa Tino. Lakini sasa kila muigizaji wa kiume anajitahidi kwa 'mapouda' akiigiza muvi. Tunajua kuwa filamu ni kwa ajili ya kuonyesha maisha asilia, je katika uhalisia wanaume wa kibongo ni watu wa mapouda?

Anti Ezekiel

Mkali wa muvi za kibongo, Anti Ezekiel Greyson 'Jujuman' (Binti wa winga teleza wa Simba S. C. enzi miaka ya themanini)Mauzo yapo?