Tuesday, October 20, 2009

A KOMANDO YOSSO film!

Hapa wanacheza Mnanda!

Hapa wako Maskani, wamewachenjia wenzao


Hapa Mkwere kajipindua, eti anawauzia kahawa!


COMMANDO YOSSO Xclusive!


Kuveta na Komando Yosso wakiwadhibiti Sungusungu! Hii ni katika filamu ya Komando Yosso

Monday, October 12, 2009

DUDE wa BONGO DSM

Hapa alikuwa akiigiza katika filamu ya 'MACHO MEKUNDU'

Long time baba'ake

This was during the production of a film 'Miss Bongo'
Kwa sasa Mtitu (aliyekaa), kafungua ofisi ya kufa mtu maeneo ya magomeni inayojishughulisha na utengenezaji na usambazaji wa filamu.
Bravo Brother!

Friday, October 9, 2009

Kitimtim!

Kiwewe, Matumaini na Mtanga katika filamu ya MBWEMBWE

Ni utumwa wa akili?

Warembo wa bongo a.k.a Mamiss wakimuenzi mfalme wa muziki wa pop wa Marekani, Michael Jackson katika shindano la Vodacom Miss Tanzania.
Si bora wangemuenzi Nasma Khamis kwa 'kurusha roho'!

Friday, October 2, 2009

Nyumbani ni Nyumbani!

Mdau 'Sammy Classic' akiwa na bibi zake Upareni