Thursday, September 17, 2009

JULIUS KAMBARAGE NYERERE


Suala sio tu kumkumbuka mzee huyu, wote tunamkumbuka. Tunamkumbukaje? hilo ndilo haswa tunalotakiwa kujiuliza katika nafsi zetu.
Wengi wanajidai kumfuata ili tu wapate muonekano mzuri mbele ya jamii ya watanzania, lakini moyoni mna yenu machafu!
Kama kweli mnamkumbuka hebu testini kurudisha
AZIMIO LA ARUSHA!

Ze Telefoni!


Katika filamu ya Mbwembwe ya Kiwewe na Matumaini, utapata zis telefoni

Itifaki Imezingatiwa!!!

Kiapo hapa kinaliwa na Mzee mzima Kingunge!

Wednesday, September 16, 2009

Changamoto

Ni sawa kudai haki yako, lakini unajua namna na wapi pa kuidai? hapa ndipo suala la shule linapokuja. Wasanii tutafute elimu!
Harakati za kudai haki bila kutumia akili ni sawa na kutaka kuzuia maji kwa godoro.

Friday, September 4, 2009

SWAHILIWOOD

Kamati teule ya kuanzisha Swahiliwood

Baadhi ya wajumbe wa Bodi ya filamu wakiwa na wadau


Wadau wakifuatilia mchakato