Friday, October 9, 2009

Ni utumwa wa akili?

Warembo wa bongo a.k.a Mamiss wakimuenzi mfalme wa muziki wa pop wa Marekani, Michael Jackson katika shindano la Vodacom Miss Tanzania.
Si bora wangemuenzi Nasma Khamis kwa 'kurusha roho'!

No comments:

Post a Comment